• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

Vivutio vya Utalii

Tunafurahi kuwahudumia watalii wetu wa ndani na nje ya nchi wanaotembelea vivutio vya utalii tulivyo navyo. Gairo ni miongoni mwa maeneo machache duniani yenye vivutio vingi vya utalii ikiwemo; Safu za milima ya Rubeho na Ukaguri ambayo ni sehemu ya milima inaounda Safu za Milima ya Tao la Mashariki (Earstern Arc Mountain), Magofu ya kale, Alama ya Unyao wa mwanadamu wa kale katika kijiji cha Nguyami, Vyura hadimu duniani waitwao vyura Filimbi, Ndege hadimu duniani aina ya Rubeho warbler na Moreaus sunbirds ambao wanapatikana Gairo pekee (Endemic species), Maporomoko ya maji ya Ukaguru pamoja na mimea mbalimbali katika hifadhi za misitu asilia ya Mamiwa Kaskazini, Ikwamba, Italagwe naHifadhi ya Msitu wa Mipingo (Leshata Vipigo Forest).

Utalii unaofanyika katika eneo letu ni pamoja na utalii wa kupanda milima, utalii wa picha, utalii wa ndege na wanyama wadogowado kama vile Vyura filimbi, Kwale na Kanga wa Rubeho, Kima, Tumbili na Nyani, utalii wa utafiti, utalii wa utamaduni (ngoma, vyakula vya asili, michezo, matambiko, ibada na maziko/mazishi). Ili kupata taarifa za fursa na vivutio vilivyopo bonyeza maneno yaliyoandikwa Utalii wetu Gairo hapo chini.

UTALII WETU GAIRO.pdf


Baadhi ya Picha za Utalii:

Picha ikionesha watalii katika kituo cha ibada kwenye kilele cha Mlima Gairo


Picha ikionesha watalii wakifurahia kivutio cha maporomoko ya maji ya Ukaguru


Picha Ikionyesha ndege hadimu aitwae Mrs Moreaus sunbirds


Picha Ikionyesha ndege hadimu aitwae Rubeho Warbler

Picha ikionyesha chura adimu duniani aitwa Chura filimbi


Matangazo ya Kawaida

  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA May 28, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA AJIRI WATUMISHI WAPYA 16,676 ELIMU, AFYA. WAPO 261 WENYE ULEMAVU. NAFASI NYINGINE 736 ZAKOSA WAOMBAJI

    June 26, 2022
  • GAIRO YAFULULIZA KUPATA HATI YA KURIDHISHA MIAKA MINNE (4) UKAGUZI WA HOJA ZA CAG

    June 17, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA TUZO YA KWA MKOA WA MOROGORO KWA KUTEKELEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

    June 06, 2022
  • WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI WATAKIWA KULIPA USHURU, KODI ZA SERIKALI

    May 28, 2022
  • Tazama zote

Video

LIPA KODI KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa