• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Aridhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Fedha na Baishara
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Sheria
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
      • Katiba inayopendekezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATUMISHI WASIOKAA KWENYE VITUO VYAO VYA KAZI KUWAJIBISHWA

Posted on: November 2nd, 2021

Cosmas M. Njingo, GAIRO Morogoro, Nov 2

Baraza la Maalum la Madiwani la taarifa za mendeleo ya Kata Halmashauri ya Wilaya limemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Sisan Nyanda kuchukua hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuwahamisha vituo vya Kazi Watendaji wa Kata ambao hawakai katika vituo vyao vya kazi hali inayo elezwa kuikosesha Halmashauri mapato

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Mhe. Rachel Nyangasi amesema baadhi ya kata hazikusanyi mapato kutokana na Watendaji wake kuto kuwepo katika vituo vya kazi na kuongeza kuwa kufanya hivyo ni kurudisha nyuma maendeleo ya Wananchi.

"Mkurugenzi Barazi hili linakuagiza kuchukua hatua za kinidhamu ikiwepo kuwahamisha vituo watendaji wote ambao wameshindwa kutimiza wajibu na majukumu yao", Aliagiza Mhe. Nyangasi.

Baraza hilo limetoa maamuzi hayo katika kikao cha Robo ya kwanza cha Julai Septemba 2021/2022 cha kupokea taarifa za maendeleo ya Kata kilichofanyika katika ukumbi wa wa mikutano wa Halmashauri.

Matangazo ya Kawaida

  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2022 SHULE ZA BWENI December 03, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI GAIRO 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO KWA WAAJIRIWA WAPYA-KARIBUNI WILAYA YA GAIRO July 01, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ACHENI KUIBUA MIGOGORO NA WATENDAJI WENU,JENGENI MAHUSIANO MAZURI

    May 21, 2022
  • WATUMISHI 3, KATI YA 4 WAREJESHWA KAZINI, 1 ASIMAMISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

    May 20, 2022
  • WADAU WA ELIMU GAIRO WAKUSANYA SH.38 MILIONI KATIKA HARAMBEE YA KUTUNISHA MFUKO WA ELIMU

    January 14, 2022
  • MADIWANI GAIRO WAIOMBA TARURA KUWABANA WAKANDARASI WANAOKWEPA KULIPA USHURU WA HUDDUMA

    January 11, 2022
  • Tazama zote

Video

TAZAMA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • CHANEL YETU YA YOUTUBE
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa