• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WALIMU WA SEKONDARI NA MSINGI WAJENGEWA UWEZO

Posted on: February 20th, 2023

Na. Cosmas Njingo. GAIRO

Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari.

Mafunzo hayo ya siku tatu yanayosimamiwa na Divisheni za Elimu ya Awali, Msindi na Sekondari yanalenga kuwawezesha walimu kupata mbinu mpya na shirikishi za ufundishaji na ujifunzi ili kuongeza maarifa, umahiri na ujuzi.

Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Mwl. Kulwa Mgallu; amesema matarajio yao mara baada ya mafunzo hayo ni kuongeza kiwango cha ufaulu.

"Baada ya kuhitimu mafunzo haya, Matarajio yetu kama Divisheni ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari, Walimu wataongeza ujuzi na umahiri kwani wamepata mbinu mpya na shirikishi za ufundishaji na ujifunzaji". alisema Bi. Mgallu.

Mwl. Mgallu alibainisha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo imedhamiria kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda katika ngazi zote kuanzia darasa la Kwanza hadi kidato cha nne.

"Tumekusudia kuhakikisha ufaulu unaongezeka kwa madarasa yote; Mwanafunzi wa darasa la pili afaulu kwenda darasala latatu, walanne afaulu kwenda tano, vivyo hivyo aliyepo kidato cha pili afaulu kwenda kidato cha tatu, hadhalika wa kidato cha Nne afaulu kuingia kidato cha tano.

Naye Mkuu wa Shule ya Sekondari Gairo,Mwl. Hawa Mponela alisema, matarajio ya walimu hao baada ya kujengewa uwezo ni kuongeza kiwango cha ufaulu kwa asilimia 100.

"Kimsingi Mafunzo haya yamekuja kwa wakati sahihi kabisa, maana tumejifunza mambo mengi hasa mbinu shirikishi ambazo zimetuongezea ujuzi katika ufundishaji na ujifunzaji, na matokeo ya progamu hii ni kuondoa kabisa SIFURI kwa kupandisha ufaulu kwa Asilimia 100" Alisema Mwl. Mponela.

Matangazo ya Kawaida

  • FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO, SHULE YA SEKONDARI GAIRO 2023 June 19, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa kuhitimu Darasa la Saba 2023 November 23, 2023
  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBUNHE SHABIBY AWATAKA VIJANA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    October 30, 2023
  • FEDHA ZA RAIS SAMIA ZALETA MAGEUZI MAKUBWA GAIRO

    November 02, 2023
  • WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA WILAYA WAKIKAGUA HOSPITALI YA WILAYA

    September 22, 2023
  • MWENYEKITI CCM WILAYA AKAGUA MIRADI YA BOOST

    August 21, 2023
  • Tazama zote

Video

MIRADI IKAMILIKE KWA WAKATI MHE. NYANGASI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA SITA 2022 GAIRO SEKONDARI
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 715240010

    Simu ya Kiganjani: +255 715240010

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa