• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Aridhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Fedha na Baishara
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Sheria
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
      • Katiba inayopendekezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba

Kupata Leseni ya Biashara?

Huduma za Usajili wa Leseni za Biashara

A. Mahitaji Muhimu wakati kupata Leseni mpya ya Biashara.

1.      Fomu ya Maombi (Inapatikana Ofisi ya Biashara Wilaya)

2.      Jina la/Majina ya Baishara (yataonekana kwenye leseni yako).


3.      Kama ni kampuni aje na nakala ya cheti ya usajili wa BRELA (Certificate of Registration)


4. Nakala ya cheti cha namba ya utambulisho wa mlipa kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA (TIN NUMBER).

5.      Cheti Orijino cha kuonyesha hudaiwi kodi (Tax Clearance Certificate) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

6.      Ada ya Maombi Tsh.1, 000/-

7.      Ada za leseni kwa Mwaka (zinatofautina kulingana na aina ya baishara)

Kwa usajili wa biashara za zilizopo chini ya Mamlaka nyingine Mfano Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), biashara hizo ni kama vile Maduaka ya Dawa za Binadamu, Vinywaji laini, Maduka ya Pembejeo za Kilimo na Mifugo pamoja na maduka ya vyakula mnatakiwa kuwasilisha nyaraka zifuatavyo:-

(a). Cheti cha Cha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) au Mamlaka nyingine

(b)     Cheti cha Vipimo vya Afya

(c)     Pamoja na viambatanishi vingine vilivyotajwa hapo juu.

B. Kwa wafanyabiashara ambao leseni zimeisha muda wake/wanaohuisha (renew), wanatakiwa kuja na:-

1. Nakala ya leseni ya zamani (Iliyoisha muda wake)

2. Cheti orijina cha kuonyesha hudaiwi kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzani-TRA (Tax Clearance Certificate)

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Afisa Biashara Wilaya ya Gairo kwa simu namba:

0714 067774

Matangazo ya Kawaida

  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2022 SHULE ZA BWENI December 03, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI GAIRO 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO KWA WAAJIRIWA WAPYA-KARIBUNI WILAYA YA GAIRO July 01, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ACHENI KUIBUA MIGOGORO NA WATENDAJI WENU,JENGENI MAHUSIANO MAZURI

    May 21, 2022
  • WATUMISHI 3, KATI YA 4 WAREJESHWA KAZINI, 1 ASIMAMISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

    May 20, 2022
  • WADAU WA ELIMU GAIRO WAKUSANYA SH.38 MILIONI KATIKA HARAMBEE YA KUTUNISHA MFUKO WA ELIMU

    January 14, 2022
  • MADIWANI GAIRO WAIOMBA TARURA KUWABANA WAKANDARASI WANAOKWEPA KULIPA USHURU WA HUDDUMA

    January 11, 2022
  • Tazama zote

Video

TAZAMA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • CHANEL YETU YA YOUTUBE
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa