• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

Kupata hati ya Malipo ya mshahara wa Mtumishi

Ili kupata hati ya malipo ya mshahara wako tafadhali fuata maelekezo yafuatayo:

A. Ikiwa ni mara yako ya kwanza kuingia katika mfumo huu unachotakiwa kufanya ni kujisajili katika mfumo wa Hati za Malipo ya Mshahara kwa kubofya neno JISAJILI (Register) ili kukamilisha usajili utatakiwa kuingiza taarifa zifuatazo,

  1. Cheki namba yako.
  2. Majina yako yote matatu yaliyomo katika taarifa zako za mshahara.
  3. Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa
  4. Fungu (Vote code) na Kifungu (sub vote code) la Halmashauri yako.
  5. Akaunti namba yako
  6. Ngazi ya mshahara kama (Salary Scale) TGS, TGTS, TPSW
  7. Daraja la ngazi ya mshahara (Salary Grade) A,B,C,1,2,3....
  8. Kiwango cha mshahara kama (Salary Step) 1,2,3.....
  9. Bofya Jisajili (register)
  10. Utaletewa ujumbe mwingine kuwa cheki namba itakuwa ndio jina lako la kuingia kwenye mfumo na utatakiwa kutengeneza Nywila (Password) kwaajili ya kuingia kwenye mfumo na kujipatia hati ya mshahara.
    B. Kama ulishajisajili utatakiwa kuwa na:
    1. Cheki namba yako
    2. Nywila yako (Password) na baada ya kuingiza taarifa hizo bonyeza ingia (Sign In)
  11.  BOFYA HAPA kisha fuata maelekezo ya kujisajili na kupata hati ya mali

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KAZINI WALIOFAULU USAILI NAFASI ZA UDEREVA, WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MAKATBU MAHSUSI August 03, 2022
  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 19, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAKULIMA KUNUFAIKA NA BEI NDOGO YA PEMBEJEO, MBOLEA

    August 08, 2022
  • SERIKALI KUANZISHA CHUO KIKUU CHA KISWAHILI NCHINI

    August 06, 2022
  • GAIRO YANG’ARA KITAIFA UTOAJI WA MREJESHO NA UHABARISHAJI WANANCHI.

    August 03, 2022
  • WATUMISHI, TAASISI ZA UMMA KUPIMWA KWA MFUMO WA KIDIJITI

    August 02, 2022
  • Tazama zote

Video

VIBE LA MAKARANI WA SENSA GAIRO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA SITA 2022 GAIRO SEKONDARI
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa