• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

Uchaguzi

Majukumu ya kiengo cha Uchaguzi:

  • Kuratibu shughuli zote zihusuzo uchaguzi (uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zote zitakazo jitokeza baada ya uchaguzi kufanyika).
  • Kuratibu mazoezi yote ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa uchaguzi mkuu na Orodha ya wapiga kura kwa Uchaguzi wa serikali za mitaa
  • Kuratibu maswala yote muhim kwa ajili ya kuwezesha mazoez ya uchaguzi (maswala hayo ni pamoja na maandaliz ya uteuz wa wagombea, kuratibu kampeni za wagombea, maadaliz ya vituo vya kupigia kura, mafunzo kwa washiriki wote wa mazez ya uchaguzi. Mambo yote haya yanafanyika kwa ushiriji wa karibu na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na Wizara inayosimamia Uchaguzi wa serikali za Mitaa).
  • Kushirikiana na Idara ya Utumishi kuhakikisha mafunzo ya mara kwa mara yanafanyika kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa Mujibu wa Sheria
  • Kumshauri Mkurugenzi juu ya maswala yote yahusuyo uchaguzi katika Halmashauri ili kuwezesha mazoezi hayo kufanyika kwa mujibu wa Sheria
  • Kutekeleza majukumu mengineyo kwa maelekezo ya Mkurugenzi wa Halmashauri

Matangazo ya Kawaida

  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA May 28, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA AJIRI WATUMISHI WAPYA 16,676 ELIMU, AFYA. WAPO 261 WENYE ULEMAVU. NAFASI NYINGINE 736 ZAKOSA WAOMBAJI

    June 26, 2022
  • GAIRO YAFULULIZA KUPATA HATI YA KURIDHISHA MIAKA MINNE (4) UKAGUZI WA HOJA ZA CAG

    June 17, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA TUZO YA KWA MKOA WA MOROGORO KWA KUTEKELEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

    June 06, 2022
  • WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI WATAKIWA KULIPA USHURU, KODI ZA SERIKALI

    May 28, 2022
  • Tazama zote

Video

LIPA KODI KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa