bofya hapa kusoma Wizara ya Elimu, Sanaa Utamaduni na Michezo kupitia Baraza la Mitihani la Taifa NECTA limetoa maelekezo kwa Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2022. Maelekezo haya ni kwa Wanafunzi wa shule za Bweni zote nchini. Ili kupata maelekezo tafadhali bofya hiyo linki https://matokeo.necta.go.tz/selection/joining.html bofya hapa kusoma zaidikisha nenda kwenye shule uliyochaguliwa utapata malekezo yanahokuhusu
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255232935454
Simu ya Kiganjani: +255 767498981
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa